Baada ya Lowassa kushindwa kupiga push ups kwenye kampezi zake, sasa maelfu ya wapinzani wameamua kujiunga na CCM chama ambacho hakina viongozi dhaifu. CCM ni Chama cha Udilifu na nidhamu ya hali ya juu.

Hongera Mama Samia kwa kazi njema unayo ifanya ya kupigania haki na usawa.