Tuesday, September 22, 2015

CCM YAENDELEA KUINYIMA USINGIZI UKAWA BAADA YA TWAWEZA KUWEKA DATA ZA NANI ANAWEZA KUWA MSHINDI



Taasisi ya Twaweza imetoa utafiti wake ambao inasema imefanya kwa wananchi wa Tanzania bara, Utafiti huo umetokana na kuwahoji watu 1848 kutoka mikoa tofauti ya Tanzania. Swali la kama uchaguzi ungefanyika leo, ungempigia kura mgombea wa chama gani? wanasema watu wamejibu kama ifuatavyo

CCM - 66%
CHADEMA - 22%
CUF - 1%

ACT wazalendo - 0%
UKAWA - 3%
Kingine - 6%
Hakuna jibu 2%

No comments:

Post a Comment