Wednesday, September 30, 2015

MKE WA MH LOWASA AFANYA KUFURU LEO JIJINI MWANZA KWA MANDALIZI YA MKUTANO WA CHADEMA 05/10/2015





MKE WA MH LOWASA AFANYA KUFURU LEO JIJINI MWANZA KWA MANDALIZI YA MKUTANO WA CHADEMA 05/10/2015
Mke wa mgombea URAIS KUPITIA UKAWA Mama Reginal LOWASA Leo amekutana na AKINA MAMA JIJIN MZA ktk HOTEL KUBWA na ya KIFAHARI GOLDEN CREST.Akina mama hao kutoka ARUSHA, MOSHI NA KAGERA.JUMLA YA MILIONI 800 Zimetengwa na KILA mwanamke aliyefika Aliondoka na MILION 5 km posho kwa Leo.Mmoja wa washiriki hao Hakuamin na kusema KWELI LOWASA NI FISADI.Kila mwanamke ameambiwa alete watu 2000.HIZI NI PESA Alizopiga Picha na KUZITUMA.

No comments:

Post a Comment