Wednesday, September 30, 2015

WAJUMBE WA KAMATI YA USHINDI JUMUIYA YA WAZAZI/CCM TAIFA NAO WAZIDI KUMPIGANIA MAGUFULI NA CCM KWENYE KURA MIKOANI LIVE!!

Wajumbe wa Kamati ya ushindi ya Jumuiya ya Wazazi/CCM Taifa wakipigana kutafuta kura mikoani hapa ni Ilakwahih na MH. Ngonyani wakiwa Wilaya mbozi jimbo La Vwawa mkutano wa ndani Jana Mkoani 

No comments:

Post a Comment