Monday, September 28, 2015

VIJANA WAANZISHA MAGUFULI CLUB

01\
Bwana Peter Dafi akizungumza na vijana wa Magufuli Club jimbo la Mbagala

unnamedC
Mratibu wa Kampeni upande wa Vijana wa CCM Mkoa wa D ar Es Salaam na vyuo vikuu Bwana Daniel Zenda akizungumza na vijana zaidi ya 500 wa jimbo la Mbagala wakati wa uzingizi wa Magufuli Club

02
Baadhi ya vijana wakifuatia uzinduzi wa Magufuli Club Mbagala.

03

Wanachama wa Magufuli Club wakifurai katika ufunguzi wa Club hio iliyo jimbo la Mbagala, Dar Es Salaam.

No comments:

Post a Comment