
Mh. Magufuli akihutubia wakazi wa Kongwa


Mh. Magufuli akiwa Kongwa. Hapa ni Kazi Tu na hii ndio sifa ya Magufuli. Magufuli anaendelea kuteka kijiji baada ya kijiji tofauti na wagombea wenzake ambao wao wanaenda kwenye miji mikuu tu. Vijiji ndio ngome imara ya CCM na mwaka huu, Mh. Magufulia atashinda kwa kishindo kikubwa.
No comments:
Post a Comment