Monday, September 28, 2015

STAILI YA ‘PUSHAPU’ YA MAGUFULI YASHIKA KASI!

Staa wa filamu Ray akipiga Push up na wasanii wenzake. 
Jambo limezua jambo! Staili ya kupiga ‘pushapu’ iliyoasisiwa na mgombea wa nafasi ya urais kwa ‘leseni’ ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli ‘JM’ alipokuwa akijinadi kwenye kampeni zake katika Viwanja vya Kayanga wilayani Karagwe, Kagera hivi karibuni inazidi kushika kasi kila kona ya nchi.

No comments:

Post a Comment