Wednesday, September 23, 2015
MAGUFULI USHINDI MAPEMA
-Magufuli si mkurupukaji. Anafanya mambo kwa mujibu wa sheria za nchi. Sote tumeshuhudia jinsi alivyokwaruzana na viongozi wake wa juu katika kusimamia sheria za nchi. Mnakumbuka lile sakata la jengo la TANESCO pale Ubungo? Mnakumbuka sakata la malori kuzidisha uzito kinyume na sheria?
-Magufuli hana makundi. Tofauti na hawa wagombea wengine ambao wana kundi ambalo litataka kuona linafaidi kwa kumsaidia mgombea wao. Magufuli hatafungwa na siasa za makundi na hivyo kumfanya awe huru zaidi katika utendaji wake. Pia Magufuli atasaidia kukomesha siasa za makundi kwani wengi wataanza kuona kuwa kumbe mtu anaweza kuwa Rais wa nchi pasi na kuwa namkundi lolote.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment