Sunday, September 13, 2015

RAIS MUGABE AAPA KUWANYONGA MASHOGA

Mpori Pori's photo.

RAIS MUGABE AAPA KUWANYONGA MASHOGA...
.
Rais wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe pichani
kwa mala nyingine amekazia kiapo chake cha kuwanyonga wale wote watakaojihusisha na mapenz ya jinsia moja
@
Akizungumza katika mkutano mkubwa wa hadhara hivi karibuni kiongozi huyo ambaye pia ni mwenyekiti wa zamu wa wakuu wa nchi wanacha wa Umoja wa Afrika na SADC amesema Taifa lake kamwe halitakubali ushoga upige hodi nchini humo na anachukia mno uchafu huo


Anasema ukiwachukua mashoga ukiwafungia chumbani kwa miaka mitano halafu hawakuzalisha mtoto basi bora uwaue.

No comments:

Post a Comment