Sunday, September 13, 2015

NCHI ILIYOPITISHA SHERIA YA WEZI KUKATWA MIKONO NA WAZINIFU KUPIGWA MAWE

Sultani na mtawala wa Brunei ambaye ni mmoja wa matajiri wakubwa duniani
Serikali ya Brunei iliyo Kusini Mashariki mwa Bara Asia, itaanza kutumia sheria kali za kiisilamu.
Kiongozi wa nchi hiyo ya kiisilamu ambayo ni jirani na Malaysia ametangaza kuwa sheria hiyo itaanza kutumika kuanzia wiki hii.

No comments:

Post a Comment