Dr. Slaa kaondoka na chama chake watu wanabisha, ona mwenye jinsi Chadema/Ukawa bado wanaendelea kusomba watu kwa Malori. Mnaambiwa mnajaza uwanja kwa Malori na Mabasi kutoka Mikoa tofauti mnabisha, ndio maana mnaitwa wapumbavu kwasababu ushahidi upo lakini bado mnabisha na kuendelea kufuata Mkumbo.
Lowassa ameitwa Fisadi na kashindwa kubisha wala kukana madai ya Dr. Slaa. Poleni sana maana October 25 mtapatwa na maumivu makali.
Chadema yaenda vijijini na Malori kusomba watu ili kwenda kumwona Lowassa
Watu kiduchu tu ndio wanamsikiliza Lowassa.
Ushahid huu hapa jinsi Chadema inavyo somba watu
Lowassa huyo hapo kazungukwa na watu si zaidi ya dazani moja.
No comments:
Post a Comment