News reports and headlines from Africa updated with breaking news.
Wednesday, September 2, 2015
MAGUFULI TINGA TINGA SASA HIVI LIVE AT MTWARA!!
Mgombea Urais wa CCM Dr. Magufuli akizungumza na Wananchi wa Mtwara na amewaahidi Elimu ya Sekondari kuanzia Kidato cha Kwanza mpaka Cha Nne bure chini ya Utawala wake.
No comments:
Post a Comment