Wednesday, September 2, 2015

- MAANDAMANO MAKUBWA KINONDONI SASA HIVI WANANCHI WANAODAI NI WANCHAMA WA CHADEMA


Picha za Maandamano ya Wananchi wa Kinondoni wanaodai kuwa ni Wanachama wa Chadema, wakiimba nyimbo za kutaka kujitoa Chadema kutokana na maneno ya jana ya Dr. Slaa walikuwa wakielekea Makao Makuu ya Chadema. Tutawaletea habari zaidi soon!!

No comments:

Post a Comment