Mgombea wa Ukawa kupitia chama cha Chadema, amepata mapokezi dhaifu alipo wasili Kigoma. Picha zinaonyesha Watoto wa Shule ya Msingi ndio walikwenda kumpokea Mgombea huyo. Watoto hao hawakuzidi dazani moja. Hii inawezekana ni kutokana na hotuba ya Dkt Slaa ambayo inazidi kubomoa Umoja wa Ukawa.
Hali inazidi kwenda mrama. Lowassa sasa anapokelea na wototo.
Watoto wanampokea Mgombea wa Ukawa
Mtoto wa Shule ya Msingi akikimbia mbele ya gari alilopanda Lowassa Mgombea wa Ukawa kupitia Chadema
Watoto wanamshangaa Lowassa
No comments:
Post a Comment