Sunday, September 6, 2015

Chadema Kigeugeu imejaa Makamanda au Wasaliti?

Kama hawa wapambanaji walio kuvutia wewe kuingia Chadema leo wameitwa wasaliti na wameonekana wabaya kisa demokrasia ya kweli haipo wewe ni nani Chadema pia unajua nini zaidi kuwazidi hao walioitwa wasaliti tafakali chukua hatua baada ya uchaguzi Chadema inakufa.
Chagua Magufuli kuwa Rais wako 2015/2020
Kwa maendeleo na ya kasi
@Hapa Kazi tuu














No comments:

Post a Comment