Sunday, September 6, 2015

UKAWA Wasuasua katika Mkutano wao wa Jimbo la Ukonga



Mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga anayewakilisha UKAWA Mwita Mwikabe Waitara jana alizindua rasmi kampeni za Ubunge jimbo la Ukonga kwa kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Pugu Mnadani. 

Watu wachache wajitokeza katika mkutano wa UKAWA. 

No comments:

Post a Comment