Monday, September 7, 2015

Bodaboda Wafunguka kuhusu Lowassa

Bodaboda wafunguka LIVE bila chenga wasena Lowassa aliwanunulia mafuta FULL TANK na ELFU KUMIKUMI CASH Bodaboda zaidi ya 300 ,na ndio maana sheli zilifulika kiasi hiko so acheni kujitapa eti moo wengi kumbe wengine tupo after money hivyo 25 October watamchinja Lowassa upande wa kisogoni

No comments:

Post a Comment