TAZAMA YALIYOJIRI BUKOBA MKUTANO WA MKAPA KUNADI WAGOMBEA UBUNGE CCM MKOA KAGERA
Katika hotuba yake,Mkapa amesisitiza kudai kuwa ukombozi kwa watanzania hauwezi kuletwa na Wapinzani,Ametumia muda mchache katika hotuba yake lakini ameomba wana kagera kuwachagua wagombea wa CCM tu
PICHA NYINGINE ZINAFUATA.....
No comments:
Post a Comment