Saturday, September 5, 2015

SUMAYE AWAJIBU UKAWA KUHUSU UUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI……..





Hivi UKAWA  wanaotaka kujua kuhusu uuzwaji wa nyumba za serikali kwa nini wasimuulize mwenzao Sumaye?
Mbona yeye anajua kila kitu kuhusu uuzwaji huo maana yeye ndo alikuwa bosi wa Magufuli kama waziri mkuu kipindi hizo nyumba zinauzwa…..
EEEH mnamuuliza Magufuli kashfa ya Nyumba za serikali wakati waziri mkuu aliesimamia uuswazi wa nyumba hizo ni mwanachama wenu….

No comments:

Post a Comment