


Watu wa Nyamongo wasema Magufuli Selema. Mh. Magufuli akiendele na kampeni za Urasi kupitia CCM amiteka Nyamongo. Hakika watu wanaendelea kumwelewa Mh. Magufuli na Sera za CCM ambazo hazina upinzani. Mh. Magufuli anenda kijiji kwa kijiji.
Picha na Mr Chin
No comments:
Post a Comment