Tuesday, September 22, 2015

Nyalandu azindua Kampeni Kata ya Mtinko Singida


Mamia wajitokeza kumslikiliza Mh. Nyalandu katika kampeni zake za kugomea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini


Mh Nyalandu akisoma bango lenye ujumbe wa kumpongeza


Kila Mtu huko ni Nyalandu Nyalandu Nyalandu


Mke wa Waziri Nyalandu akiwa katika kampeni.


Mafuriko


Waziri wa Mwasiliano na Utalii na mgombea Ubunge jimbo la Singida Kaskazini Mheshimiwa Nyalandu.


Waziri wa Mwasiliano na Utalii na mgombea Ubunge jimbo la Singida Kaskazini Mheshimiwa Nyalandu akisalimiana na wanachama na wakazi wa Mtinko.



No comments:

Post a Comment