Thursday, September 3, 2015

Mh. Magufuli Akifanya Kazi kwa Mifano #HapaKaziTu

Huyu ndio Kiongzo anayetakiwa Tanzania. Anafanya kazi kwa mifano na sio nadharia kama wengine. 








Mh. Magufuli akifanya kazi yake kwa Mfano na sio maneno matupu ya Ukawa. Huyu ndio Kiongozi anaye takiwa na sio wapiga kelele na wasanii wa Ukawa.

#HapaKaziTu

No comments:

Post a Comment