Monday, September 7, 2015

Mh. Magufuli Aiteka Handeni Vijijini

 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Handeni Vijijini Ndugu Mboni Mhita.
Wananchi wa Handeni wakishangilia jambo kwenye mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Azimio Center mkoani Tanga.

No comments:

Post a Comment