Monday, September 7, 2015

Mh. John Magufuli aendelea kupokea Malundo ya Kadi za Chadema katika Mikutano yake




Mh. Magufuli amekuwa akipokea Malundo ya Kadi za Wapinzani katika mikutano yake. Hii ni ishara tosha kuwa Watu wamechoka ahadi dhaifu za Ukawa. 

No comments:

Post a Comment