Mama Samia aendelea kupokea Malundo kwa Malundo ya Kadi za Upinzani
Baada ya Lowassa kuingiza UDINI kwenye kampezi zake, sasa maelfu ya wapinzani wameamua kujiunga na CCM chama ambacho hakina udini wala ukabila. CCM ni Chama cha Udilifu na nidhamu ya hali ya juu.
Hongera Mama Samia kwa kazi njema unayo ifanya ya kupigania haki na usawa.
No comments:
Post a Comment