TWAWEZA YASEMA Dr JOHN MAGUFULI NDIO RAIS Dr Magufuli ameonekana kushinda kwa 65% Edward Lowassa ameonekana kushinda kwa 25% Baadhi ya Wapenzi wa Chadema na UKAWA Wameonekana kutokubaliana na Utafiti huo sababu kuu ikiwa ni Idadi ndogo ya wahojiwa 1800 kati ya Milion 23. Tukumbuke:Tume ya Jaji Warioba Ilihoji watu takriban Laki 3 waliyotosha kuwawakilisha Watanzania wote Milion 46. Kwa Utafiti wa TWAWEZA Dr JOHN MAGULI Anasubili Kuapishwa. |
No comments:
Post a Comment