Wednesday, September 2, 2015

Lowassa ni fisadi wa moyoni, kichwani, na nafsini

.

Baada ya Mkutano wa Serena Hotel, UKAWA Washindwa kumjibu Dr. Slaa zaidi ya kutoa majibu kupitia Tundu Lusi ambayo yameonyesha udhaifu mkubwa sana katika Umoja huo. 

Kuna hoja kadhaa ambazo bado UKAWA pamoja na Mgombea wao Edward Lowassa wameshindwa kuzijibu na kubakisha maswali mengi kwa wantanzania wenye fikra na wafikiriaji.

BAADHI YA HOJA ZA DR. SLAA:
1. Askofu Gwajima akasema Lowassa  anaungwa mkono na Kanisa la Kilutheri Tanzania, na amehonga maaskofu Katoliki 30 kati ya 34, kati ya Shilingi milioni 60 mpaka 300.

2. Ukitoa uchafu wa chooni kuuweka sebulenu, patanuka zaidi.

3. Lowassa ni fisadi wa moyoni, kichwani, na nafsini. Sijui kama akili yake iko sawa nafikiri anahitaji kupimwa.

Hizi ni baadhi ya hoja ambazo Lowassa na Ukawa/ Chadema wameshindwa kuzijibu kwa ufasaha zaidi ya kutoa mipasho ya kumtukana na kumdharirisha Dr. Slaa. 

No comments:

Post a Comment