Thursday, September 10, 2015

Lowassa anafundishwa nini hapa, CCM Oyeeeeeeeeee

Anafundishwa na kuzoweshwa la kusema ,maana Mzee ana maradhi ya Kusahau Kumbukumbu kwahiyo anahitajia kila Dakika kumi akumbushwe,

Twasema hivi mfundisheni sanaaaa lkn mutamaliza hapo hapo ,ikulu sio Hospitali ya Wagonjwa


No comments:

Post a Comment