Tuesday, September 22, 2015

NGARA WATOA BARAKA ZAO KWA MAGUFULI, WASEMA ASUBIRI KUAPISHWA


Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mh. Magufuli akihutubia umati mkubwa Ngara.


Wanapenzi wa Magufuli wakimsikiliza kwa Makini Mheshimiwa Magufuli. 




Huyu ndie Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi akimwaga sera Ngara.


HAPA KAZI TU



Na Mr Chin

No comments:

Post a Comment