
Nashangaa sana kuona mnataka watu kuwachangia wakati huyu mama akiendelea kutoa bahasha mitaani pia sera zenu mnasema mabadiliko kila kitu kitakuwa bure kwanini mnatutaka tuchangie?
Lowassa si anasema kuwa kila kitu kitakuwa bure, mbona anachangisha sasa?
No comments:
Post a Comment