Wednesday, September 2, 2015

Mh. Magufulu Aiteka Mtwara na kusema Mtwara utakuwa Mji wa Viwanda

 Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mtwara kwenye uwanja wa Mashujaa ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa Mtwara utakuwa mji wa viwanda na wananchi wake watapewa kipaumbele katika ajira.
 Wananchi wa Mtwara wakimsikiliza  Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
  Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi mgombea wa Ubunge jimbo la Mtwara mjini Ndugu Husnein Murji kwenye mkutano wa kampeni za CCM kwenye viwanja vya Mashujaa.
  Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Mtwara Mhe.Husnein Murji kwenye mkutano wa kampeni za CCM kwenye uwanja wa Mashujaa.
  Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Mtwara Mhe.Husnein Murji mbele ya umati wa wakazi wa Mtwara mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika uwanja wa Mashujaa.
 Kila mtu na staili yake.
 Mhe.Husnein Murji akihutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni za CCM kwenye uwanja wa Mashujaa
 Umati wa wakazi wa Mtwara kwenye mkutano wa kampeni za CCM.

 Mgombea wa ubunge kupitia CCM  jimbo la Mtwara mjini Mhe.Husnein Murji akiwasalimu wananchi wa Mtwara mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM
 Msanii Msami akionyesha uwezo wake kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa ,Mtwara mjini.
Ali Kiba akishambulia jukwaa kwenye mkutano wa CCM uliofanyika Mtwara mjini.

No comments:

Post a Comment