Friday, September 4, 2015

Mh. Magufuli ailipua Mtwara baada ya UKAWA kuonja Joto ya Jiwe Mkoani Mtwara

Mgombea wa uraisi kwa tiketi ya chama chama Mapinduzi CCM, Ndg. John Pombe Magufuli amefanya mwendelezo wa kampeni zake katika mkoa wa mtwara ambapo maelfu ya wananchi na wapenzi wa chama hicho wamejitokeza kumsikiliza akinadi sera zake










No comments:

Post a Comment