Friday, September 18, 2015

MH. MAGUFULI AENDELEA KUWASHA MOTO

Kazi inakaribia kuisha, kumalizika kwa kazi hii ni mwanzo wa kazi nyingine kubwa ya kuanza kushughulika na wenye kodi za watanzania.

Hili nitalishughulikia mapema sana kuhakikisha fedha za umma zinarudishwa kwa maendeleo yetu.

Huwezi kuhubiri mabadiliko wakati kwenye account zako kuna fedha za umma, hizi lazma mzirudishe hili halina mjadala.



No comments:

Post a Comment