MAGUFULI AENDELEA KUMTESA LOWASSA
Mheshimiwa Magufuli anaendelea kumtesa Lowassa kila nyanja, leo anapiga "push-ups" mbele ya halaiki ya watu. Huu ni ujumbe tosha kwa Lowassa kuwa Ikulu sio sehemu ya kuchezea.
Haya sasa washabiki wa Ukawa, mleteni Lowassa na yeye atuonyeshe ujasiri huu.
No comments:
Post a Comment