
Amani na umoja wetu ni muhimu zaidi. Sitakuwa Rais wa CCM tu, nitakuwa Rais wa Watanzania wote, wa vyama vyote, wa dini zote, wa makabila yote na wa rangi zote. - Dokta John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa mji wa Tabora katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Jumatatu Septemba 14, 2015.
No comments:
Post a Comment