Thursday, October 29, 2015

Upinzani 2010 mlikuwa na majimbo 52, 2015 majimbo 47

Upinzani 2010 mlikuwa na majimbo 52, 2015 majimbo 47 mmeongeza au mmepunguza? nini mchango Wa Lowasa katika uchaguzi au katika muungano wenu? Ccm imeongeza majimbo na imeshinda majimbo 217 kati ya 264.

Mr. Chin

No comments:

Post a Comment