Thursday, October 29, 2015

Dkt. Magufuli alizaliwa Tar 29/10/1959 Leo Tar 29 mwezi wa 10 Tunasherehekea siku ya kuzaliwa kwa Rais Mtarajiwa.

Dkt. Magufuli alizaliwa Tar 29/10/1959
Leo Tar 29 mwezi wa 10 Tunasherehekea siku ya kuzaliwa kwa Rais Mtarajiwa.
Mungu Akipenda leo tukimaliza kupokea matokeo ya majimbo yaliyo baki, tukaendelea kuongoza kama ilivyo sasa, basi itakuwa ni siku ya kihistoria kwetu.
EEH Mungu mpe Afya njema Dkt. John Pombe Magufuli aweze kulitumikia taifa letu nakutuletea mafanikio yaliyojaa neema.

No comments:

Post a Comment