Monday, November 30, 2015

Hell yeah I remember this

We Need This in Ghana: Tanzania’s New President-John Magufuli Cancels Independence Day Celebrations

John MagufuliWhile there is still a subtle on-going debate among certain Ghanaians in 

relation to our annual independence celebrations, the cost and the 

economic non-productiveness of this–Tanzania’s new President John 

Magufuli has cancelled his country’s Independence Day celebrations.
For the first time in 50 years, President John Magufuli won’t give the people of

 Tanzania the opportunity to gather for speeches, traditional dances, military 

parades and flypasts.

This is what almost all African countries including Ghana do each year as our 


Independence Day celebration.

Instead, President Magufuli wants Tanzanians to gather and clean markets, 

schools and and public spaces.

And just as Ghana, a lot of money goes into this annual celebrations which 

really adds nothing new to our economy—somewhat depressing when you 

even consider what a mess we’ve turned the country into since Independence

.
According to President Magufuli spokesperson, the money which was meant for

 the annual celebration will be spent on combatting cholera, a chronic problem

 in many poor suburbs lacking proper sanitation in the country

President Magufuli took office about 3 weeks ago—and this cancellation is the

 latest on his agenda of cutting government cost and putting the country’s 

money where it’s important.

Our Ghanaian leaders need to look at this


- See more at: http://www.ghanacelebrities.com/2015/11/24/we-need-this-in-ghana-tanzanias-new-president-john-magufuli-cancels-independence-day-celebrations/#sthash.zJo6x9Ei.dpuf

Jamaica News: New Tanzania President Sacks Hospital Head After Surprise Visit To Medical Facility, Saw Patients Sleeping On Floor

Tanzania’s new President John Pombe Magufuli holds up a ceremonial spear and shield to signify the beginning of his presidency, shortly after swearing an oath during his inauguration ceremony at Uhuru Stadium in Dar es Salaam, Tanzania on November 5.
Newly installed Tanzanian president, John Magufuli sacked the head of the country's main hospital after finding patients sleeping on the floor during a surprise visit. 
"The president was dismayed and saddened by the state of medical service delivery, particularly for patients sleeping on the floor," a statement from his office said. 
He also reportedly broke up the governing board at Muhimbili National Hospital after discovering the main scanning and diagnostic machines were not working and seeing other poor conditions on Monday. 
"The president is trying to send a message that times have changed ... It's not business as usual ... It's all about delivery – the government has to deliver for the people," the chief secretary at the president's office, Ombeni Sefue, said.
Magufuli took over last week from former president Jakaya Kikwete, who stepped down after two terms in office.
http://jamaica-gleaner.com/article/news/20151110/new-tanzania-president-sacks-hospital-head-after-surprise-visit-medical

Zimbabwe: We need someone like John Magufuli

Dunia yaendelea kumtambua Rais Magufuli, HAKIKA HANA MFANO

Habari kwa Wabunge ndio hii

Haya wabunge mambo ndio kama haya.
Mlitaka kura zetu mkatutetee bungeni. Mkilalamika tu tutajua kuwa ni waongo

Afrika ya Kusini: Rais Magufuli ni Nguzo Ing'aayo/Imara

Ipe neno picha ya Waziri Mkuu Mstaaf Pinda

Rais Magufuli mpaka China

Ona jinsi Jasho linavyo Mtoka baada ya kumuona Rais Magufuli

BILIONI 4 ZA SHEREHE ZA UHURU, ZIJENGE BARABARA YA MOROCCO HADI MWENGE - RAIS MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameamuru fedha kiasi cha shilingi bilioni 4 zilizopaswa kutumika kugharamia shamra shamra za siku ya Uhuru ambazo zingefanyika tarehe 09 Desemba 2015, zitumike kufanya upanuzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilometa 4.3 kwa kuongeza njia mbili za barabara za lami.


Rais John Magufuli akizungumza na Balozi wa China hapa nchini Dkt. Lu Youqing Ikulu jijini Dar es salaam

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Balozi wa China hapa nchini Dkt. Lu Youqing Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 30, 2015






Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Balozi wa Korea ya Kusini hapa nchini Mhe. Chung IL Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 30, 2015. Balozi huyo pia alitumia nafasi hiyo kumuaga Rais kwa kuwa muda wake wa kufanya kazi nchini umemalizika.

IMF kuidhinisha Yuan kuwa sarafu ya kimataifa

Image copyrightAP
Image captionIMF kuidhinisha Yuan kuwa sarafu ya kimataifa
Shirika la fedha duniani IMF linatarajiwa kutangaza baadaye kuwa sarafu ya uchina ya Yuan, itajumuishwa kwenye orodha ya sarafu za kimataifa.
Hatua inayoashiria kukua kwa umuhimu wake katika mfumo wa uchumi wa dunia.
Utawala wa Beijing umekuwa ukitaka sarafu ya Yuan kuwa na hadhi sawa na sarafu za dola ya Marekani, Euro, Yen ya Japan na Pauni ya Uingereza na umeaweka weka mageuzi kadhaa ya kiuchumi ili kuleta mabadiliko.
Image copyrightAP
Image captionWachanganuzi wanasema Uchina,sharti iwe tayari kuwa wazi zaidi kuhusu jinsi inavyoendesha masoko yake ya kifedha .
Hata hivyo wachanganuzi wa kiuchumi wanasema kwa sarafu hiyo ya Yuan kuwa sarafu ya kimataifa, Uchina ni sharti iwe tayari kuwa wazi zaidi kuhusu jinsi inavyoendesha masoko yake ya kifedha .

Source BBC

Mwafungua ofisi saa ngapi ? Kuna viumbe nje wanataka kuhudumiwa au hamuwaoni Ukawa?

Meet the man who built a plane using video tutorials

It’s difficult to believe, but Asmelash Zeferu has managed to build a plane mostly with the help of tutorial videos on YouTube.
It was the 35-year-old Ethiopian’s childhood dream to become a pilot but was rejected by the Ethiopian Airlines Aviation Academy. But he was so determined to take off that he decided to build a plane.
"I decided to build my own aircraft if I couldn't be a pilot," he told CNN. “Then I'd be able to fly high in the sky."
For the last 10 years, Zeferu has been working on his dream, salvaging spare parts from second-hand markets and handcrafting certain parts like the airplane’s wings. He then upgraded the 48 horsepower Volkswagen Beetle engine to 78 for his two-seater aircraft and settled for the wheelbase of a Suzuki motorcycle as his landing gear.
And he did this with the help of some aviation experts, aircraft manuals and YouTube tutorials, according to CNN.
While Zeferu was ready to fly his plane in June, he encountered some technical problems during the process. However, it didn’t deter him from pursuing his goal.
Almost five months later, he is ready to take off, again.
And this will not be the end to his quest – sky is the only limit for this ambitious amateur pilot.
"My dream is to become an aerospace engineer at NASA," he told CNN. "And I will be."










Aliyekuwa Mwenyekliti wa CUF Pro Ibrahim Lipumba akutana na Rais John Magufuli

PICHA: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Prof Ibrahim Lipumba amemtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt John Pombe Magufuli na kumpongeza kwa hotuba nzuri iliyoweka mwelekeo mpya wa Serikali ya Awamu ya Tano. Pia Prof Lipumba amesifu na kuunga mkono Juhudi za Mhe Rais katika kupambana na wakwepa kodi na wahujumu uchumi.




Umesha kisoma Kitabu cha Watanzania? Soma hii sura ya tano......

Cops need to do more of this instead of being ready to arrest them and ruin their lives!


Now THAT is how you be a peace officer... I hope he doesn't get fired for it. (I hate being as cynical as I am).

Saturday, November 28, 2015

HIZI NDIO REKODI 4 ZA NGUVU ALIZOWEKA RAIS MAGUFULI SIKU YA ALHAMISI..




Leo ni siku ya alhamisi, November 26 2015… nimeinasa hii ripoti exclusive kabisa iliyoripotiwa na kituo cha Clouds TV, kama ulikuwa hujui basi kuna rekodi kubwa na za nguvu kabisa ambazo zinaihusu siku ya alhamisi na Rais John Pombe Magufuli.

Hapa nakuchambulia mdogomdogo mtu wangu, mwanzo mpaka mwisho wa rekodi zenyewe.

1:>> Rais Magufuli alizaliwa October 29 1959, ilikuwa ni siku ya alhamisi.

2:>> October 29 2015 ni siku ambayo alitangazwa kuwa Rais wa Tanzania… ilikuwaalhamisi pia.

3:>> Siku ya alhamisi November 05 2015 Rais Magufuli aliapishwa kushika wadhifa wa Urais wa Tanzania, Ikulu Dar es Salaam.

4:>> November 19 2015, Rais Magufuli alimteua Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.

Breaking::::: Watumishi wengine 3 Wasimamishwa kazi TRA

Friday, November 27, 2015

Mtetezi na Mkombozi wa Watanzania..Kiongozi mwenye Hofu ya Mungu..Kiongozi Mwenye Nia ya Kuileta




Pope in Kenya

FINALLY, THE GIRLS ARE BACK!! 241 Women & Children Abducted by Boko Haram are Free!

Military forces have rescued 241 women and children kept captive by Boko Haram.
 Nigeria’s military said on Wednesday they had freed the prisoners following a raid on two camps controlled by the radical Islamist terrorist group, CNN reports.
sad
Some girls who previously escaped Boko Haram, and who have bravely returned to school. These are not the rescued schoolgirls found to be pregnant. (Photo: Getty Images)
The raids took place on Tuesday and destroyed both camps, army spokesman Col. Sani Usman told Nigerian newspaper Punch.
CNN reports the raids also resulted in the arrests of 43 Boko Haram militants including local leader Bulama Modu.
The rescue mission is wonderful news, particularly following more than a year of searching and hoping for the safe return of the abducted school girls from the village of Chibok — a horrifying incident that sparked the #bringbackourgirls hashtag and protests across the world.
It’s not yet clear, however, whether any of the Chibok school girls abducted in April 2014 are among the newly rescued women and children.
This is not the first time a group of Boko Haram hostages has been released: In May this year, 293 women and girls were rescued after the military captured three insurgent camps inside the Sambisa Forest in the country’s northeast.
Days later, a further 234 women and girls were rescued from the group — although in an unsettling twist of events, it transpired that at least 91 percent of that second group of rescued women and girls were pregnant.
As a United Nations report revealed, all but 20 of the 234 women and girls had visible baby bumps.
girls are back
Some of the Chibok schoolgirls who previously escaped their Boko Haram Islamist captors. (Photo: Getty Images)
Those women’s pregnancy follows reports that women and girls kidnapped by the insurgents are routinely raped and forced to marry Boko Haram fighters, according to International Business Times.
The group’s leader, Abubakar Shekau, has said  in a video released in November: “The issue of the girls is long forgotten because I have long ago married them off.”
In another chilling video released in May 2014, Shekau boastingly announced that he planned to treat the captured girls like “slaves”. He said:
“I will sell them in the market, by Allah. I will sell them off and marry them off. There is a market for selling humans… I will marry off a woman at the age of 12. I will marry off a girl at the age of nine…
sad 2
Some young girls in the Northern part of Nigeria
Women are slaves. I want to reassure my Muslim brothers that Allah says slaves are permitted in Islam.”
There is no word yet on how many, if any, of the newly rescued women and children are pregnant.
Boko Haram in March pledged allegiance to Islamic State, which which rules a self-declared “caliphate” in areas of Syria and Iraq.
Boko Haram, whose name translates to “Western education is forbidden,” wants to establish a caliphate of its own in Nigeria.

Source: Mamamia

Wanafunzi 3,045 waacha shule kwa sababu ya mimba


Wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi nchini Tanzania imesema Wanafunzi 3045 wa shule za sekondari pamoja na wanafunzi wa shule za msingi nchini wameacha shule kutokana na kupata mimba katika mwaka 2013, hali inayochangiwa na umasikini katika ngazi ya familia.
Soma zaidi http://www.eatv.tv/…/wanafunzi-3045-waacha-shule-kwa-sababu…

Mshauri wa Nkurunziza anusurika shambulio

Image copyrightBurundi Police
Image captionWatu zaidi ya 200 wameuawa nchini Burundi tangu Aprili
Mshauri wa Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amenusurika shambulio alipokuwa akitoka nyumbani kwake katika eneo la Kajaga, magharibi mwa mji mkuu Bujumbura, polisi wanasema.
Zenon Ndaruvukanye alinusurika bila majeraha yoyote, lakini mlinzi wake, ambaye alikuwa afisa wa polisi, alifariki kutokana na majeraha ya risasi.
Washambulijai walitoroka wakitumia gari aina ya Toyota lakini polisi walipashana habari na gari lao likazuiwa maili kadha kutoka Kajaga. Waliacha gari hilo na kutorokea soko lililo karibu, lakini mwishowe wawili walikamatwa. Mmoja wao alifanikiwa kutoroka.
Gari hilo aina ya Toyota lilipatikana na silaha mbalimbali zikiwemo bunduki aina ya AK47 na guruneti.

Image copyrightBurundi Police
Polisi baadaye walipelekwa kwenye nyumba moja viungani mwa mji wa Bujumbura ambapo walipata silaha zaidi.
Mji wa Bujumbura umekumbwa na machafuko ambayo yamesababisha vifo vya watu zaidi ya 200 tangu Aprili.
BBC

Ulishawahi kuandikwa kama mpiga kelele enzi za shule au haijawahi kutokea?

Mfuasi wa CUF aolewa UK


WAZIRI MKUU MHE KASSIM MAJALIWA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BANDARINI.

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa leo ameamuru kukamatwa kwa maafisa kadhaa wa Mamlaka ya Mapato (TRA) na wengine kufukuzwa kazi baada ya kufanya ziara ya kushtukiza Bandarini na kukuta madudu.
Maafisa hao, ambao majina yao yamehifadhiwa (kwa sasa) ili Jeshi la Polisi liweze kuwashughulikia, wametakiwa pia kusalimisha hati zao za usafiri.
Imegundulika kwamba kuna makontena 349 yenye thamani ya zaidi ya bilioni 80 ambayo data za Mamlaka ya Bandari inazo lakini katika mtandao wa TRA hayaonekani ‪#‎SasaKaziTu‬



TRA kimenukaaaaa , hebu tufanyeni kazi mengine tunajitakia bana

Hii Ndio Tanzania Mpya chini ya Rais Magufuli

Monday, November 23, 2015