Friday, November 27, 2015

Wanafunzi 3,045 waacha shule kwa sababu ya mimba


Wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi nchini Tanzania imesema Wanafunzi 3045 wa shule za sekondari pamoja na wanafunzi wa shule za msingi nchini wameacha shule kutokana na kupata mimba katika mwaka 2013, hali inayochangiwa na umasikini katika ngazi ya familia.
Soma zaidi http://www.eatv.tv/…/wanafunzi-3045-waacha-shule-kwa-sababu…

No comments:

Post a Comment