Saturday, November 21, 2015

Wakulima wa Kijiji cha Ndabwa wilayani Lushoto wakishikilia Karoti









Wakulima wa mboga mboga ikiwemo karoti katika kijiji cha Ndabwa wilayani Lushoto mkoa wa Tanga, siyo kwamba wameshikilia mihogo bali ni karoti zilizotoka kuvunwa shambani kwao, picha ya kwanza ni Rehema Shegulio na Hadija Shaban na picha ya chini ni mkulima maarufu wa mbogamboga kijijini hapo Shegulio Ali. Hata hivyo wameeleza kuwa karoti kwa sasa hazina soko maana kiroba kama hicho kinachoonekana pichani kinauzwa kwa bei ya shilingi elfu 5 tu kwa bei ya shambani- picha na Vedasto Msungu Technologies.

No comments:

Post a Comment