Monday, November 23, 2015

WATUMISHI WA UMMA KUWA NA UTAMBULISHO MAALUM WAWAPO KAZINI

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue afanya ziara katika hospitali ya Taifa Muhimbili kufuatilia utekelezaji wa maagizo ya Rais Magufuli, aagiza watumishi wote wa umma kuwa na sare maalum zenye majina yao wawapo kazini ili kuongeza uwajibikaji. Tazama HOT MIX sasa kujua aliyokumbana nayo leo.

Je, serikali ya awamu ya tano ifanye nini kuboresha sekta ya afya nchini?


No comments:

Post a Comment