Thursday, November 19, 2015

Tanzania Prime Minister Kassim Majaliwa




Rais Dk. Magufuli amemteua KASSIM MAJALIWA kuwa WAZIRI MKUU wa 11 katika Serikali ya awamu ya tano.
Natumia fursa hii kumpongeza Rais Magufuli kwa kufanya uteuzi makini wa Kassim Majaliwa na pia sina mashaka na utendaji kazi wa Kassim Majaliwa ambaye anatosha kabisa kuendana na kasi ya HAPA KAZI TU

No comments:

Post a Comment