Friday, October 30, 2015

Rais Magufuli na Makamu wake Samia wakiwa na Viongozi wa Dini



Rais Mteule Mh. Dkt. Magufuli na makamu wake Samia Hassan Suluhu wakiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa dini mbalimbali hapa nchini katika sherehe ya utolewaji wa cheti kwa mshindi wa kiti cha Urais.

No comments:

Post a Comment