Monday, October 26, 2015

UKAWA yazimwa kama taa Kahama Mjini, KISHIMBA ashinda kwa kishindo

Napenda Niwe Nakutumia Kila Habari Mara tu Ikitoka ..Bofya HAPA Ujiunge Nami SASA..




Matokeo ya ubunge jimbo la Kahama Mjini

Waliojindikisha kupiga kura 149,304.

Waliopiga kura 68,200.




Matokeo haya hapa:

Jumanne Kishimba(CCM) kura 47,555.

James Lembeli(Chadema) kura 30,122.

Bobson Wambura(ACT Wazalendo) kura 605.

No comments:

Post a Comment