Monday, October 26, 2015

JIMBO LA DODOMA MJINI ANHTONY P MAVUNDE ASHINDA KWA KISHINDO!! WAKAZI WA DODOMA WAJITOKEZA KUMLAKI BARA BARANI




Hivi ndivyo maelfu ya wakazi wa Dodoma waliojitokeza kumlaki MH ANTHONY P. MAVUNDE Baada ya kutangazwa kuwa ndiye aliyeibuka Mshindi wa jimbo la Dodoma mjini. Mh Anthony Mavunde ameshinda kwa kishindo baada ya kumgalagaza mgombea mwenza kwa tiketi ya Chama Cha upinzani (Chadema) Bwan Benson Kigaila kwa kura nyingi sana. Mh Anthony P. Mavunde (APM) Ameibuka kidedea kwa kura 84,512 Huku Benson Kigaila kupata kura nusu yake ambazo ni 42,140. Hongera sana Mh Anthony Mavunde: 









































No comments:

Post a Comment