Thursday, August 27, 2015

SHEREHE YA KUZALIWA LOWASSA YAINGIA DOSARI

Lowassa ahutubia kwa dakika 6 tu ambazo aliimba wimbo wa Aliselema na Mchakamcha. Huu wimbo anamuigizia Magufuli ambaye ni Mgombea Urais wa CCM 

Kina mama na watoto wao wadogo wakiwa wamebanana ndani ya Ukumbi kusherehekea kuzaliwa kwa Mgombea wa Urais wa UKAWA leo Millenium Towers live!!


Baada ya kukosa hewa ndani ya ukumbi huo wakina mama wakiwa wametoka nje kupata hewa na hasa watoto wadogo waliokuja nao live kusheherekea kuzaliwa kwa Mgombea Urais wa UKAWA leo live!!

No comments:

Post a Comment