Tuesday, August 25, 2015

Laurence Masha aendelea kusota Mahabusu baada ya LOWASSA kumkacha

Mheshimiwa Lau Masha Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani na mshauri Mkuu wa Lowasa, leo mahakamani Kisutu baada ya kukosa dhamana kwenye kesi yake ya kuwatukana Masikini wa Mungu Polisi waliokuwa zamu kituoni Osterbay siku ya Jumapili.


No comments:

Post a Comment