Friday, August 28, 2015

Mh. Samia Suluhu aendelea KUIVURUGA ARUSHA, UKAWA Wapoteza KURA za akina Mama





Wakinamama wa Mkoa wa Arusha wamshangilia kwa Nguvu Mh. Samia na kusema kuwa yeye ndie Muarobaini wa Matatizo ya Wanawake wote wa Tanzania. Wakinamama hao watoa ahadi ya kura zao zote kwa CCM. 

No comments:

Post a Comment