Monday, August 24, 2015

LOWASSA NAMFANANISHA SANA NA ALI KIBA

Baada Ali Kiba kuona kila akimfukuza Diamond Platnumz hampati ndipo akaingia mitaani kupanda daladala ili kupata huruma kutoka kwa mashabiki. Nilishangaa kwa sababu star wa kweli hawezi kufanya hivyo sijawahi kuona popote duniani labda kama msanii hajiamini. Hata.Mh. LOWASSA, baada ya CCM kudondosha Tsunami Jangwani ambayo Hakuitegemea akaamua kupanda daladala kama Ali Kiba ili wananchi tumuonee huruma.hapa hakuna huruma ni kuchinja tu. Anataka kutudanganya kwa kupanda daladala ili tumuone mwenzetu wakati yeye ni tajiri fisadi. Wananchi tusidanganyike hata kidogo.

No comments:

Post a Comment