Thursday, August 27, 2015

MHESHIMIWA MAGUFULI AITEKA MBEYA

Mhe. John Magufuli akiwa katika Kampeni Mbeya akiungwa mkono na viongozi wengine pamoja na Wanachama.


Akihutubia Malefu wa Wananchi wa Mbeya


Mheshimiwa Magufuli akimsikiliza Mkazi wa Mbeya aliye kwenda kumuoa



Mheshimia Magufuli akipokea Baraka kutoka Masista Kanisa la Katoliki Mbeya


Wakazi wa Mbeya walivyo furika kumuoa Mheshimiwa Magufuli



Mheshimiwa Magufuli akisalimia na watu mbali bali



Mheshimiwa Magufuli akisalimia na watu mbali bali



Haya ni Zaidi ya Mafuriko.



Mbeya Nzima Yazizima baada ya Magufuli kutia Mguu wake.



HUYU NDIE RAIS WETU MTARAJIWA MHESHIMIWA MAGUFULI


No comments:

Post a Comment